Use APKPure App
Get Chapeo Ya Wokovu old version APK for Android
Waefeso 6: 17 inasema; "Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao.
IFAHAMU CHAPEO YA WOKOVU. (Chapeotz) Tunakusalimu katika jina la Yesu Kristo aliye hai. Ukisoma bibilia kitabu cha neno la Mungu, Waefeso 6 :17 inasema; “Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu.” Neno hilo la Mungu katika kitabu hicho ndilo lililotufunua na kuanzisha mtandao wa kijamii ambao tumeupa jina la CHAPEO YA WOKOVU. Sababu ya kuanzisha mtandao huu ni kuwafikia watu wengi zaidi kwa urahisi, na kwa muda mfupi, hasa kwa kuzingatia mabadiliko ya ulimwengu wa leo.Last updated on Aug 19, 2018
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Nécessite Android
4.2 and up
Catégories
Signaler
Chapeo Ya Wokovu
1.0 by Route Africa Networks Limited
Aug 19, 2018