Dua

za kiislam kwa kiswahili

1.0 par DiraJumla
Mar 18, 2023 Anciennes versions

À propos de Dua

Jifunze dua za kiislam kwa kiswahili - Ujue uislamu kutoka katka Coran na Sunnah

Dua za kiislam kwa kiswahili App, ni App inayokuwezesha kujifunza dua mbalimbali zilizoombwa na Manabii wa Allah S.W.T.

Kupitia App hii Dua za kiislam kwa kiswahili utajifunza dua za kujikinga na maradhi, dua za kuomba utajiri, dua za kuondoa matatizo, dua za kujikinga na uchawi pamoja na wachawi / majini, dua za usiku na nyingine nyingi.

Pia utapata mawaidha ya kiislam kwa kiswahili kutoka kwa masheikh mashuhuri kama Othman maalim, Nurdin Kishki n.k

Informations Application supplémentaires

Dernière version

1.0

Telechargé par

Arif Wiharso

Nécessite Android

Android 5.0+

Voir plus

Use APKPure App

Get Dua old version APK for Android

Téléchargement

Use APKPure App

Get Dua old version APK for Android

Téléchargement

Alternative à Dua

Obtenir plus de DiraJumla

Découvrir