Katekisimu Ndogo


1.0 par AlberaInfoTech
Oct 15, 2018

À propos de Katekisimu Ndogo

Katekisimu Ndogo Ya Kanisa Katoliki

Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani y a Kanisa Katoliki,

       L'application est très populaire dans les environs de Kanisa Katoliki, Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998.

        Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza il y a Kanisa katoliki,

zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:

1: SEHEMU YA KWANZA: IMANI

     - Kipengele hiki kinahusisha Photos et vidéos de la marque Kanisa Katotiki amapo pia kimegawanyika katika sehemu kuu 12 ambazo kila moja wapo ndani yake kuna maswali na

     majibu kuhusiana na kila kipendele kwenye kanuni ya imani.

1.0: NASADIKI

        1.1: KWA MUNGU BABA MWENYEZI

        1.2: MUUMBA MBINGU NA DUNIA

        1.3: YESU KRISTU MWANAE WA PEKEE BWANA WETU ALIYETUNGWA KWA ROHO MTAKATIFU ​​AKAZALIWA NA BIKIRA MARIA

        1.4: AKATESWA KWA MAMLAKA PONSIO PILATO AKATESWA AKAFA AKAZIKWA AKASHUKIA KUZIMU SIKU YA TATU AKAFUFUKA KATIKA WAFU

        1.5: AKAPAA MBINGUNI AMEKAA KUUME KWA MUNGU BABA MWENYEZI

        1.6: TOKA HUKO ATAKUJA KUWAHUKUMU WAZIMA NA WAFU

        1.7: NASADIKI KWA ROHO MTAKATIFU

        1.8: KANISA TAKATIFU ​​KATOLIKI

        1.9: USHIRIKA WA WATAKATIFU

        1.10: MAONDOLEO YA DHAMBI

        1.11: UFUFUKO WA MIILI NA UZIMA WA MILELE

2: SEHEMU YA PILI: SAKRAMENTI

-Sehemu hii inatoa majibu ya maswali kuhusu Liturujia, Neema, Visakramenti, Sakramenti

umuhimu wa Sakramenti, nani na wakati gani anatakiwa kupokea Sakramenti husika. Sehemu hii pia imegawanyika katika vipengele kama ifuatavyo:

        2.0: LITURJIA

        2.1: NEEMA

        2.2: SAKRAMENTI

        2.3: VISAKRAMENTI

        2: 4: SALA

3: SEHEMU YA TATU: AMRI

Sehemu hii ya Tatu inahusisha uchambuzi wa Amri zote za Mungu na za kanisa, pia imejikita katika kutoa majibu kuhusu masuala y a fadhila, aina za fadhila, dhambi aina za dhambi, vishado asha zi,

na pia majibu kuhusu dhamiri. Nayo imegawanyika katika sehemu zifuatazo.

3.0: AMRI KUU

       3.1: AMRI KUMI ZA MNGU

       3.2: AMRI ZA KANISA

       3.3: FADHILA

       3.4: DHAMIRI

       3.5: DHAMBI

       3.6: VISHAVISHI

4: SEHEMU YA NNE: SALA MUHIMU

Sehemu hii ya nne imegawanyika katika vipengele saba ambavyo vinahusisha zaidi aina mbalimbali za sala kwa wakatoliki ambao ni msingi wa maisha na shughuli zao za kila siku,

 Vous êtes le premier à donner votre avis sur cette chanson. Mungu na kuwa karibu naye kwa kila jambo ufanyalo kwa siku nzima.

        4.0: SALA ZA ASUBUHI

        4.1: SALA YA JIONI

        4.2: SALA KABLA YA MAFUNDISHO

        4.3: SALA WAKATI WA KUUNGAMA

        4.4: SALA ZA JIONI

        4.5: SALA ZA KOMUNYIO

        4.6: SALA KWA BIKIRA MARIA

Quoi de neuf dans la dernière version 1.0

Last updated on Nov 13, 2018
Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki, App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki , Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998.
Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki ,
zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:

Informations Application supplémentaires

Dernière version

1.0

Telechargé par

عبيدة القج

Nécessite Android

Android 4.0.3+

Available on

Voir plus

Use APKPure App

Get Katekisimu Ndogo old version APK for Android

Téléchargement

Use APKPure App

Get Katekisimu Ndogo old version APK for Android

Téléchargement

Alternative à Katekisimu Ndogo

Obtenir plus de AlberaInfoTech

Découvrir