Mapenzi


3.0.0 par KaziMoto
Dec 5, 2015

À propos de Mapenzi

Karibu kwenye application ya Mapenzi. Utapata nakala zote zinazohusu mapenzi

Karibu kwenye application ya Mapenzi. Utapata nakala zote zinazohusu mapenzi kwa wanaume na wanawake. Utapata pia kila siku ujumbe mzuri wa mapenzi ambao unaweza kumtumia mtu unaempenda ambae uko na mahusiano nae ya kimapenzi, ndoa au hata mtu unaetamani kuwa mpenzi wako.

Kutakuwa na nakala kwa wanaume zinazoeleza namna ya kutongoza msichana, namna ya kuvaa wakati wa kuonana na mwanamke, namna ya kuongea na vitu vingine vingi sana.

Utapata nakala juu ya namna ya kuishi na mpenzi wako katika nyakati tofauti.

Utapata kujua namna ya kuachana na mpenzi wako kwa njia sahihi bila kumuumiza kupita kiasi.

Hapa ni Mapenzi Tu.

Informations Application supplémentaires

Dernière version

3.0.0

Telechargé par

حسن عزيز

Nécessite Android

Android 2.3.2+

Voir plus

Use APKPure App

Get Mapenzi old version APK for Android

Téléchargement

Use APKPure App

Get Mapenzi old version APK for Android

Téléchargement

Alternative à Mapenzi

Obtenir plus de KaziMoto

Découvrir