Our website uses necessary cookies to enable basic functions and optional cookies to help us to enhance your user experience. Learn more about our cookie policy by clicking "Learn More".
Accept All Only Necessary Cookies
Mauzo icône

1.5.2 by diioTZ Labs


May 3, 2021

À propos de Mauzo

Français

Cette application permet de gérer les petites entreprises.

Mauzo application App ni inayotumika kutunza taarifa za Mauzo na matumizi. Itakusaidia kujua kama Biashara Yako inatengeneza Faida.

Hutumika katiika Biashara ndogo na za kati zinazojiusisha na na kununua kuuza bidhaa, kutengeneza na kuuza bidhaa au kutoa Huduma

Hauitaji kuwa na Intaneti (inatumika hors ligne). Intaneti inatumika Wakati wa kujisajili na wa Wakati kufanya sauvegarde.

Taarifa (données) zako zinatunzwa Kwenye simu Yako tu. Hakuna mtu anaweza kuziona Zaidi Yako wewe.

Quoi de neuf dans la dernière version 1.5.2

Last updated on May 3, 2021

Tumefanya mabolesho makubwa katika app hii ili kuendana na mahitaji ya wateja wetu. Miongoni mwa maboresho yaliyofanyika ni pamoja na;-
1. Kurekebisha fomu ya kusajili bidhaa,
2. Kuboresha fomu ya kurekebisha taarifa za bidhaa,
3. Kuongeza kipengele cha Mapato,
4. Kuongeza kipengele cha Matumizi,
5. Kuboresha Dashboard,
6. Kuongeza Refresh kwenye Dashboard na Bidhaa,
7. Kuboresha fomu ya Kujisajili na
8. Kuboresha fomu ya kusajili mauzo.

Endelea kufurahia huduma hii. Asante!

Chargement de la traduction...

Informations Application supplémentaires

Dernière version

Demande Mauzo mise à jour 1.5.2

Telechargé par

Kwee Chaw

Nécessite Android

Android 4.4+

Voir plus

Mauzo Captures d'écran

Charegement du commentaire...
Langues
Abonnez-vous à APKPure
Soyez le premier à avoir accès à la sortie précoce, aux nouvelles et aux guides des meilleurs jeux et applications Android.
Non merci
S'inscrire
Abonné avec succès!
Vous êtes maintenant souscrit à APKPure.
Abonnez-vous à APKPure
Soyez le premier à avoir accès à la sortie précoce, aux nouvelles et aux guides des meilleurs jeux et applications Android.
Non merci
S'inscrire
Succès!
Vous êtes maintenant souscrit à notre newsletter.