Use APKPure App
Get Mkulima Mbunifu old version APK for Android
App inayotoa mafunzo yanayomuwezesha Mkulima katika nyanja mbalimbali kiuchumi.
App inayotoa mafunzo na Makala mbalimbali katika Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Site Web yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org. Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
Courriel : agrotanzania.care@gmail.com
Whatsapp : +255 762 799 080
.
****************************************************** **************
Solutions Androïd.
Conçu par;
Solutions Android Mshindo.
Whatsapp : +255 762 799 080.
Courriel : agrotanzania.care@gmail.com
Telechargé par
Serban Mario Gabriel
Nécessite Android
Android 4.4+
Catégories
Signaler
Use APKPure App
Get Mkulima Mbunifu old version APK for Android
Use APKPure App
Get Mkulima Mbunifu old version APK for Android