Mwana Michezo

Habari Za Michezo Tanzania

1.1 par Gulfzoom Media
Oct 28, 2021

À propos de Mwana Michezo

Usipitwe na habari zote za soka la tanzanie na ulaya kupitia app hii

Mwana Michezo - ni application maalumu kabisa inayotoa habari zote za soka la tanzania na nchi za nje, hivyo basi ukiwa na app hii pendwa hautopitwa na habari yoyote ya michezo hususani ligi kuuu Tanzania bara.

Mwana Michezo - ukiwa na app hii itakufanya uwe wa kwanza kufahamu mambo yanayohusu soka letu la ndani kama ifuatavyo;-

👍Ligi kuu Tanzania VPL, pia na UEFA, na EPL,

👍Msimamo wa VPL

👍Matokeo ya Michezo ya soka Tanzania na Barani Ulaya,

👍Tetesi zote za Usajili,

👍Uhamisho wa wachezaji,

👍Uchambuzi wa Soka,

👍Mshikemshike viwanjani,

👍Dondoo za michezo

👍 Vitasa n.k

Mwana Michezo - Ni app iliyosheni habari zote za michezo zinazotrend mitandaoni na magazeti ya kila siku yaliyoandikwa na waandishi wabobezi katika soka na wachambuzi wa mbalimbali wa soka hapa nchini.

Mwana Michezo - Ni app ya kipekee sana inayokusanya taarifa zote za michezo zinazopatika katika sehemu zifuatazo;-

✔Mwana Msimbazi

✔Mwana Jangwani

✔Soka Leo

✔Soka Letu

✔Azamu Sport Live

✔Magazeti ya michezo

✔soka kiganjani

✔Soka La Bongo

✔Kabumbu

✔Michezo Plus

✔Mwanasport n.k

Mwana Michezo - Ni app nzuri sana na rahisi kuitumia, sasa unaweza kupakua ili uweze kufurahia yote yaliyosheheni ndani yake, hakika hautojutia kuwa kuwa na application hii.

Asanteni sana🙏🙏🙏

Quoi de neuf dans la dernière version 1.1

Last updated on Feb 18, 2022
Get all updates concern Tanzania football

Informations Application supplémentaires

Dernière version

1.1

Telechargé par

Altamas Ansari

Nécessite Android

Android 5.0+

Available on

Voir plus

Use APKPure App

Get Mwana Michezo old version APK for Android

Téléchargement

Use APKPure App

Get Mwana Michezo old version APK for Android

Téléchargement

Alternative à Mwana Michezo

Obtenir plus de Gulfzoom Media

Découvrir