Use APKPure App
Get Tenzi Za Rohoni Na Wokovu old version APK for Android
Imba nyimbo zako pendwa kumusifu na kumutukuza Mungu ili ubarikiwe!
Tenzi Za Rohoni Na Wokovu ni app mahususi ambayo imekusanya nyimbo za kumsifu Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya dini za kikristo. pia ukiwa na application hii utakua na uwezo wa kupakua nyimbo za injili kutoka kwa wasanii tofautitofati ndani na nje ya nchi.
Tenzi Za Rohoni Na Wokovu ni ambayo inavipengele ambavyo vimetenganisha nyimbo mbalimbali kulingana na dini lako: navyo ni kama nyimbo za wokovu, tenzi za rohoni, nyimbo za kristo, tumwabudu munguu na n.k
Nécessite Android
4.4 and up
Catégories
Signaler
Last updated on May 2, 2022
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Tenzi Za Rohoni Na Wokovu
1.0.0 by Gulfzoom Media
May 2, 2022